Huyo ndo mapanki
Roho mbaya alianza wakati akinyonya
Ujasiri alianza wakati akitambaa
Mbwembwe alianza alipojua kutembea
Ubabe alijifunzia Ikulu babaye akiwa rahisi
Na mzuka umempanda zaidi Trump alipoingia White House
Mapanki endelea tu
.....
Huyo ndo mapanki
Roho mbaya alianza wakati akinyonya
Ujasiri alianza wakati akitambaa
Mbwembwe alianza alipojua kutembea
Ubabe alijifunzia Ikulu babaye akiwa rahisi
Na mzuka umempanda zaidi Trump alipoingia White House
Mapanki endelea tu
.....
Na mpaka hapo basi leo katika Historia haina la ziada... Niite Jimena Jimenes kumbuka tu segment hii imeletwa kwenu chini ya udhamini wake na Bitoz na kati ya Joto city
Hadi wakati mwingine....... Adios amigo