Makapuku Forum

Acha uoga banaa
 
6/Black Flags Hizi zilitumika na taasisi[annarchy]},zilitumiwa pia na watu waliokuwa wakipinga mfumo fulani uliokuwa unawakandamiza
Mfano zilitumiwa na wapinzani dhidi ya serikali kuwasilisha huzuni juu ya wanayofanyiwa
........
 
5/Transgender Flag
Kaoge na James wanaijua vizuri hii bendera kuliko bendera ya Taifa
Iliasisuwa huko Phoenix Arizona
Kwa ufupi tu
Light blue= baby boys
Pink= girls
White=wale akina Kaoge,wasagaji,wahaojisikia tofauti na jinsi yao
Ni maarufu zaidi km Rainbow flag
.....
 
Ndio maana kuna wakati wa mapigano wapiganaji husimamisha mapigano kwa madhumuni fulani nadhani hutumia hizi bendera kusitisha kwa muda.asante kwa maelezo
 
Safi wapo tofauti .
 
Nimekuelewa hapa
 
4/Jolly Roger Flag Hii inatumiks na mabaharia na wafanyakazi wa meli ili kutambua meli au mabaharia
Nyingine badala ya kuweka mifupa chini ya fuvu zimewekwa mapanga,sime
Karne ya 17 na 18 zikabuniwa pia za aina tofauti tofauti
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…