Ila nisamehee soksi nilikuibiaa japo nilizivalia mbelee...najua anko, ila si unajua tena lazima niseme niliyosema ili kumpoza aunt. ila koti lilikupendeza sana yaani ulionekana mpya kwenye koti kuukuu
NakupendaSante dada
Kigamboni ngoja kwanza shemelaAisee, binamu kafanya kazi yake
Mpeleke sasa kigamboni
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mimi namjua shemela wangu shunie tuSema demi sio kibonge kama yeye
Alafu unamdanganya huna watspa mdogo wako??Utume kwenye halotel my dear
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...please, tunajiandaa na safari ya Kigamboni tafadhari usianze hizi mambo.
...atapelekwa saa ngapi wakati mjomba alikuwa Tukuyu?
Mtoe hapo kwenye avatar ubaki mwenyeweNipo mimi dada [emoji4]
Akwendwee hukoo nae.. Si akapewe hizo likes aongeze mtajiAsante kwa taarifa mkuu
Nakupenda pia dada angu unajua hilo [emoji8]Nakupenda
NgachokaaHapana dada mitala siwezi jamaan
Hahaha
Bora kukonyezana.... Yale mengine ndo changamoto
Apeleke peremende hukoooMzee wa peremende
Usimjue kabisaNamjua wapi mie dada
Sawa dadaMtoe hapo kwenye avatar ubaki mwenyewe
SitakiiiiWewe si unaona kulala raha ...sema keshokutwa ntapasha nae tupashanee
Ndio nilivyo hivyo shemela wanguNimefurahi ulivyokuja kwa upole
Binamu wako kipenziNakuita nani vile??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akwendwee hukoo nae.. Si akapewe hizo likes aongeze mtaji
Tukimaliza kuoga tukajilalieeHalafu leo tulale mapema