Safariii iko palee pale ...si ushamtimiziaa alichotaka ...kuhusu unyunyu nimekuibiaa kidogo ulivouachaa lile koti nimepulizia nkaweka kwenye begiii..ntakua natooa nguo inanukiaa
Ni starehe hizohizo zilizompoteza
Yeye,Ngwair na Mr Nice walikuwa na vipaji kumzidi Diamond
......
Kilichombeba Diamond ni juhudi na kutolewa sofa
.......