Mimi alinituma toka jana nikamlete mtoto...Jamaaa nanga kweli kweliii mike
Jamaaa nanga kweli kweliii mike
Nampenda sana Oprah Winifrey kwa kazi zake nzuri na ujasiri,ni mfano wa kuigwa1/Oprah WinfreyAlizaliwa Januari 29 1954
Utotoni akitokea familia ya kimaskini Hivyo kupitia changamoto kibao
Akiwa na umri mdogo alibakwa na nduguye ...haikuidhia hapo
Akiwa na umri mdogo tu akapewa ujauzito ila akapoteza kichanga chake baada ya kujifungua(mtoto walifariki) ila akaendelea na ndoto zake......Huku Bongo Sizonje hawataki mabinti waliopataujauzito waridi shule(mi nampinga)
Hajabahatika tena kupata mtoto
Mweneshaji huyu wa zamani wa vipindi vya luninga ana vidole 6 mguu wa kushoto ....pamoja na kuwa na utajiri mkubwa lakini amejikubali na kuviacha kama vilivyo licha ya utotoni kuchekwa
Halle Berry naye mguu mmoja ana vidole 6.,..
Ana utajiri unaofikia USD 3 Bilioni
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...........
Yuko vizuri sana ,umri huwa hataji mara nyingi2Dr Precious Moloi MotsepeSijajua mwaka aliozakiwa.....Waafrika kwa kuficha umri hatujambo
Ni Msauzi ambaye couple yake na mumewe ni maarufu
Anamiliki ma kampuni kadhaa....ni mfanyabiashara na pia anajihusisha na masuala ya mitindo
Anao/wanao utajiri unaofikia USD 2.5 Bilion
........
Kanishangaza kweliii ...weee mondiiiii kweliiii utabaki kugonga like na kuita shemejiiMimi alinituma toka jana nikamlete mtoto...
Sasa mtoto kaja hadi chumbani anashindwa kumpiga mtama tuu
I see...kukaa utupu ndio hapo akizeeka atawaza sana..majuto mjukuu3/MadonnaAlizaliwa Agosti 16 1958
Huyu ni bibi mpenda starehe na kutembea na viMario....alikuwa na vituko kumzidi Lady Gaga
Enzi zake alitamba vilivyo na vibao vyake matata kama vile Like A Virgin na kuiteka dunia
Pia anazo ngoma kali nyingine kama vile Like A Prayer na Vogue
Kupitia muziki ameingiza mpunga mrefu pia amejihusisha na filamukibao zikiwemp za utupu ..yeye kwake ni pesa tu
Ana utajiri unaofikia USD 800 Milioni
.......
Duuuuuh
I see4/JK RowlingAmezaliwa July 31 1965
Umewahi kuangalia mfululizo wa muvi za Harry Porter ? Ni mfululizo wa muvi kama za kichawichawi....siyo uchawi wa yule Mtu mwepesi tapeli wa JF
Wakati wewe unaburudika basi elewa kuna mwanamke pale amekinga ndoo inajaa hela utafikiri anakinga majibombani
Ana utajiri unaokadiriwa kufikia USD 1 billion
.......
Umri mkubwa ni baraka ila Waafrika ni mabingwa wa kuficha umri
Binamuuuuu umemisika usisahau nyimbo yangu au niwekee mbili leo na nyingine ya kassim mganga ya leo si unajua vene nakupenda binamu yangukigamboni tunaenda