BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hongera kampuni ya SONNYLeo katika historia
1/7/ 1979 Kampuni ya SONY ya Japan yazindua Walkman ya kwanza Duniani.
Walkman ni radio ndogo za mkononi unazoweka kanda (sikuhizi cd)na kusikiliza music
Mama mchuchu tumekumis na asantee kwa baraka[emoji524] MWANZO 18
1.BWANA akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre,alipokua ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2.Akainua macho yake akaona,na tazama ,watu watatu wamesimama mbele yake ,Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema ,akainama mpaka chini.
3.Akasema BWANA,wangu ,kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
[emoji523] CHUNGUZA....Mara ngapi MUNGU ametutembelea ili kutuletea majibu ya maombi yetu nasi hatukutambua kwa kutojua?
TUMUOMBE MUNGU atufungue macho ya rohoni ili tumwone kila mara anapokuja kwetu ,kupitia watu,baraka,mapito,na hata furaha ili tumlaki/tuwalaki na kushukuru kwa fadhili za Baba Mungu wetu na KUMUOMBA ASITUPITE...HALELUIYA
NAWATAKIA MCHANA MWEMA[emoji7] [emoji7] MBARIKIWE
WoyooooooLeo katika historia itawajia hivi punde tu kwa hisani ya Ibracadabra......
[emoji7] [emoji7]
Hongera kwa matangazo ya rangiLeo katika historia
1/7/1966 Matangazo ya kwanza ya rangi katika Television yarushwa rasmi huko Toronto Canada
Bwana utam [emoji15]Kesi gani tena bwana utam..
Hongera UHURU BURUNDILeo katika historia
1/7/1962 Ni Siku ya uhuru wa Burundi
Hbd PatLeo katika historia
1/7 /1976 Patrick Kluivert mwanasoka mahiri kutoka Uholanzi azaliwa
Hbd princess diana na upumzike kwa AmaniLeo katika historia
1/7/ 1961 Princess Diana anazaliwa.
Alikuwa mke wa mtoto wa malkia wa nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebakia kuwa tata hadi leo
Hongera UHURU RWANDALeo katika historia
1/7/1962 Ni Siku ya uhuru wa Rwanda
Asante sana Jimena kwa historiaKufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote
ahahhhhAhsante na mm nakupenda pia..
Hongera JAMUHURI GHANA ,Hongera Kwame Nkurumah kuwa raisLeo katika historia
1/7/1960 Nchi ya Ghana yawa Jamhuri na Kwame Nkrumah anakuwa Rais wa nchi hiyo
KweliiiiHumu 70% ni team OT..
Hongera UHURU SOMALIALeo katika historia
1/7/1960 Nchi ya Somalia yajipatia uhuru wake
Binamu uquote ili iweje jamaan au tusiwekewe story iwe furaha yakoNimekuwa vema anko.
Niko POA sana. Sijui wewe leo umeamkaje?
BTW, asante kwa hadithi, iko poa sana. Ni nzuri na sikujua kama itakuwa ikiniumiza akili isipowekwa.
Au na mimi niwe naiquote nzima nzima
Hongera shirika la ndege Marekani United AirlinesLeo katika historia
1/7/1931 shirika la ndege la Marekani (united Airlines) laanzishwa
Wanasoma kimya kimyaOoooooh kumbe na wewe unaifatiliaa nilijuaa ni ya shunie na tumosa
Hongera simu ya kwanza kupigwaCanada MarekaniLeo katika historia
1/7/1881 Simu ya kwanza ya kimataifa yapigwa toka canada kwenda Marekani
We mtu hujambo? Niliambiwa unanitafuta..
Asante sanaLeo katika historia itawajia hivi punde tu kwa hisani ya Ibracadabra......
[emoji7] [emoji7]