Makapuku Forum

Hilo gazeti la sani ni waongo sana tangu lini korea akawa na uwezo kuzidi Marekani
Nafikiri anachohofia Mmarekani kama akiishambulia korea ni Urusi na China kuingilia kati maana korea kaskazini iko mipakani na Urusi na China
Nchi nyingine ambazo korea imepakana nazo kimipaka ni Japani na ndugu zao kusini ambazo ndiko Marekani anakoegemea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…