10/
Angelina Jolie
Ni mcheza filamu maarufu huko Hollywood nchini Marekani
Ni demu wa Brad Pitt na walijaaliwa hadi kupata mtoto/watoto pamoja yaani kitu kimelipa...pia wameasili watoto kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwepo kutoka Afrika
Kupitia filamu anaingiza mkwanja mrefu kama urefu wa treni ya Mwakyembe inayozurura huku Joto City
Ana mpunga unaokadiriwa kufikia USD 120 Milioni
.....