Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Najisikia vibaya nikiwaona Lee na Shunie, T na Shululu, T na sakayo.
Nakugawa bureeeMie siwataki asee, biashara ya kuambiwa hereni ni mauzauza tufunge na kusali sitaki miee
HahahaNakugawa bureee
Alafu nasikia jamaa dume ....
ChangamotoNimechoka kua pekee angu ujue siku hz had obe ana mamito mm tu
Atakuwa mpendwa wakeMamito Wa obe ni nani?!
Afu weweeAtakuwa mpendwa wake
AiseeKUTANA NA UCHAGUZI MKUU ULIOWEKA RECORD YA DUNIA KUTOKA AFRIKA HII HII.
Anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia mwaka 1927 nchini LIBERIA huyu muheshimiwa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi ya watu waliojiandikisha.
Watu waliojiandikisha walikuwa 15000.
Ila Mbabe huyu akajishindia kiti cha urais kwa kura 234,000 huku mpinzani wake akijichukulia kura 9000. Huu ulikuwa uchaguzi wa mara ya tatu jamaa akitetea kiti chake, kwa kituko hiki Jamaa aliingizwa kwenye record za dunia za "Guinness Book of Records".
Maajabu haya yanapatikana Afrika pekee.
Sio TKama mchungaji alivyo mdanganya mkewe ni mauzauza
Si unajua Babu yangu kila Tarehe ya ya mwisho wa Mwezi wa 6 yaani June 30 alikuwa anaenda Range kufanya mazoezi ya Target...?Hiyo sio ya kutoa hovyo... Kuna tukio gani
Hahaaa!Shunie nakuonaaa ujue... Shkamo
Wewe pasha nae tuu! Ila angalia iskute ni mzimu wa bibi yake..Umesahau napashaga na sakayo mornie wewe ukiwa umeupunyuaa
Amsha dude tuu...!Jimena si jimbo wazi?
Kwann tuhangaike MmU wakati yy yupo humu.au mnaonaje macomrade mkaliamsha dude kwake..
Baba DYuko doliaa
Marahaba dada za weweShunie nakuonaaa ujue... Shkamo
Naniiiii jamaanNakugawa bureee
Alafu nasikia jamaa dume ....