Makapuku Forum

Aisee
 
Duh aisee
 
7/India
Wahindi wamejaaliwa mvuto wa sura lakini mioyo yao imejaa ushirikina achilia mbali tabia yao ya uchafu uliopitiza
Mfano Oktoba 14 BBC iliripoti habari kuhusi binti mmoja kutoka Bemetara District kwamba alitolewa kafara ya mtoto wa kiume na ndugu zao wakiamini itamsaidia kupata ujauzito .....asiye na mwana abebe jiwe kuliko kwenda kwa sangoma
......
 
....mambo ya kwenye sikukuu si tulikubaliana yanaishia pale pale tulipokula pilau bombadier, usiharibu mjomba
Bhinamu unamjua fika aunt yako mimi nimefika naomba chakula anasema eti nirudi nilipokuwa ...ila sijamwambia chochote ....

Unamuona na fitina zake ...

Ila bhinamu ngoja kwanza hivi mama ashura ndo anavojua kupika hivo???

Salaaamu bhinamu
 
Duh
 
Leo mnichukue na mie nikale pilau makinikia kwa mama ashura mvaa shanga 700 jaman
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…