Twende basi tukale kekiHappy born my friend...
Hiyo avatar nadhani kuna keki pembeni...someone to zoom that please..
Mungu akupe maisha marefu best angu..
Leo Sakina hapatoshi aisee [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji485][emoji512][emoji485][emoji512][emoji485]
Mimi najua hizo hapo chini ni BollardSijui kitu
Tena kiingereza ndo kabisa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
[emoji8][emoji8][emoji8]Mwenyewe siko wasap darling.. Niko na app ya JF pekee
That's true
Na venye napenda hugs
Me moooore[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Ulikuwa ka mie sio, nilikuwa nikifungua uzi nahisi wananiona wanipe vijembee
Kitu lollpop..!Hahaha
Kumbe unakumbuka eeeh... Acha kabisaa... Jana nimeshinda nazo huku naperuzi jf
Ooooooh ongera sana dear ....happy birthdayEid Mubaraka wapenzi
Leo Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu,nani pacha wangu hapa
SiaminiHuaminiiiii[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Baadae ndio ikiwa hivi ilivyo si unajua tenaBaadae ikawajeee ??
Acha kunitamanisha basi... Ujue sina hata moja hapaKitu lollpop..!
Kitu red...! [emoji3][emoji3]
Tanx,,,,,,Minal aidina Walifaidhini!
Happy born day...! I guess