Hahahahaha kweli nilikuwa nakupa madongo sana. Halafu huyo aliyelikopi nae kavu sana... Hawezi kuwa kama wewe eti.Hahaha hilo jina lilinipa umaarufu, ilikuwa kiki tu, kuna member analitumia but kaongeza 2 mwishoni. Asante ulinipiga majiwe/mawe hadi nkaomba poo, nikaja na Kigli/quigley. I real miss those days, hakuna mfano wake Jimena
Si unajua tena.... Tunajaribu kuweka sawa mahesabu.Pamoja mzeewakungoa, baada ya mwezi mtukufu ndio umeonekana
Karibu
Daaah itabidi nimsake briz aisee, pacha yako mzima sana, jana nilimcheki, kipenzi wako ndo alituacha hoi alipoaga jmn. All in all heko kwa BITOZ kakomalia uzi hatimaye unaendelea kupaa na una sura mpya kabisa.Hahahahaha kweli nilikuwa nakupa madongo sana. Halafu huyo aliyelikopi nae kavu sana... Hawezi kuwa kama wewe eti.
Mwenyewe ulikuwa unajitetea weee lakini sikuwahi kukuelewa asilani. Hahahahaha I miss those days too..... Hapa mai bebi Szczesny sambamba na mai bebi wa siri briz halafu my pacha na pia mke mwenzangu sweetiepie dah kweli maisha ni sasa bila kumsahau my secret admire Dj Cobblepots akikaa kwenye moja na mbili mambo yanakuwa barabara kabisa.
Dj coblopt kuna siku alianzisha uzi wa kuaga na kukiri kutumia ids kibao, malcolm lumumba kwenye siasa, coblopts kwa makapuku na na zingine kwa majukwaa mengineHahahahaha kweli nilikuwa nakupa madongo sana. Halafu huyo aliyelikopi nae kavu sana... Hawezi kuwa kama wewe eti.
Mwenyewe ulikuwa unajitetea weee lakini sikuwahi kukuelewa asilani. Hahahahaha I miss those days too..... Hapa mai bebi Szczesny sambamba na mai bebi wa siri briz halafu my pacha na pia mke mwenzangu sweetiepie dah kweli maisha ni sasa bila kumsahau my secret admire Dj Cobblepots akikaa kwenye moja na mbili mambo yanakuwa barabara kabisa.
Naona kaka Bitoz amekuwa mfano wa kuigwa..Salamu nyingi sana toka nilipo
Morning lovieMungu ni muaminifu
Habarini za asubuhi wana familia.... Naamini mmeamka salama.. Sio kwa kulala huko jamani...
Amkeni bhana
Hapa kama kwenye daladala mmoja anashuka mwingine anapanda na life inasonga... Mpe Briz salamu zanguDaaah itabidi nimsake briz aisee, pacha yako mzima sana, jana nilimcheki, kipenzi wako ndo alituacha hoi alipoaga jmn. All in all heko kwa BITOZ kakomalia uzi hatimaye unaendelea kupaa na una sura mpya kabisa.
Nimefurahi kukuona tena
Bitoz
Nikimpata hewani ntampa zako salamHapa kama kwenye daladala mmoja anashuka mwingine anapanga na life inasonga... Mpe Briz salamu zangu
Sasa.... Ameondoka kabisa jf au? Nilikuwa namuelewa sana kuna siku tulikesha hadi asb tukiwa Mimi, Briz na Cobblepots halafu kesho yake Szczesny akanuna [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dj coblopt kuna siku alianzisha uzi wa kuaga na kukiri kutumia ids kibao, malcolm lumumba kwenye siasa, coblopts kwa makapuku na na zingine kwa majukwaa mengine
Cobrepots ndo MALCOM LUMUMBA na Siku hizi namuona Malcolm Lumumba(herufu ndogo) nahisi ni yeye piaHahahahaha kweli nilikuwa nakupa madongo sana. Halafu huyo aliyelikopi nae kavu sana... Hawezi kuwa kama wewe eti.
Mwenyewe ulikuwa unajitetea weee lakini sikuwahi kukuelewa asilani. Hahahahaha I miss those days too..... Hapa mai bebi Szczesny sambamba na mai bebi wa siri briz halafu my pacha na pia mke mwenzangu sweetiepie dah kweli maisha ni sasa bila kumsahau my secret admire Dj Cobblepots akikaa kwenye moja na mbili mambo yanakuwa barabara kabisa.
Hajaondoka yule "kastaafisha" tu ID zake yupo kivingine hata Genda Heka/Ze Kitabu kabadili ID na kuwa Chaubama sijuiDj coblopt kuna siku alianzisha uzi wa kuaga na kukiri kutumia ids kibao, malcolm lumumba kwenye siasa, coblopts kwa makapuku na na zingine kwa majukwaa mengine
Mdau sijaona vitu leoUko poa ??
Itakuwa pouwa sana..Sasa.... Ameondoka kabisa jf au? Nilikuwa namuelewa sana kuna siku tulikesha hadi asb tukiwa Mimi, Briz na Cobblepots halafu kesho yake Szczesny akanuna [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu sisi nao eti siku nyingine tulikuwa tunanuniana lol
Utakuta mi siongei na Kigli[emoji53] hahahahaha baadae yanaisha kisha tunaendelea na stori kama watoto yani [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kiukweli natamani siku moja makapuku wote ambao wataweza basi tukutane somewhere DSM tugonge cheers..... Na kupiga stori maana huu uzi nao ni homa ya dengue ama nene......
Hapo sawa nilidhani kaondoka kabisa. Sasa watakuwa wameziunganishaHajaondoka yule "kastaafisha" tu ID zake yupo kivingine hata Genda Hela/Za Kitabu kubadili ID na kuwa Chaubama sijui
.......
Uko sahihi kabisa kwavile hapa napo ni kama maji usipokunywa basi utaoga.Cobrepots ndo MALCOM LUMUMBA na Siku hizi namuona Malcolm Lumumba(herufu ndogo) nahisi ni yeye pia
Hao wengine nao watakuwa wapo JF kama kawa ila kwa ID Zingine na tunachat nao bila kujua
Kuna wakongwe wengi hapa KF kwa ID fekelo
..........
Ze kitabu dah kitambo sana sijamsikia kumbe amebadili IDHajaondoka yule "kastaafisha" tu ID zake yupo kivingine hata Genda Hela/Za Kitabu kubadili ID na kuwa Chaubama sijui
.......
Cabblepots kuna siku alirudi kwa jina la Malcom lumumba, siku hizi simuoni.Sasa.... Ameondoka kabisa jf au? Nilikuwa namuelewa sana kuna siku tulikesha hadi asb tukiwa Mimi, Briz na Cobblepots halafu kesho yake Szczesny akanuna [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu sisi nao eti siku nyingine tulikuwa tunanuniana lol
Utakuta mi siongei na Kigli[emoji53] hahahahaha baadae yanaisha kisha tunaendelea na stori kama watoto yani [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kiukweli natamani siku moja makapuku wote ambao wataweza basi tukutane somewhere DSM tugonge cheers..... Na kupiga stori maana huu uzi nao ni homa ya dengue ama nene......
Nakuamini mkuuCobrepots ndo MALCOM LUMUMBA na Siku hizi namuona Malcolm Lumumba(herufu ndogo) nahisi ni yeye pia
Hao wengine nao watakuwa wapo JF kama kawa ila kwa ID Zingine na tunachat nao bila kujua
Kuna wakongwe wengi hapa KF kwa ID fekelo
..........
Ila tukimeet tuwepo wote bila kujali huyu kaja lini sababu mwisho wa siku wote ni makapuku tu.Cabblepots kuna siku alirudi kwa jina la Malcom lumumba, siku hizi simuoni.
Kiukweli sina mfano wa kufananisha zile siku.
Ni kweli kuna siku tulikuwa twatofautiana kwa muda lkn mwisho wa siku tulibaki WAMOJA, kf ilinifunza mengi kuanzia kuchukuliana kitabia na kukubaliana.
Tulionekana tunafanya mambo ya kijinga LAKINI nimegundua jf sasa wanaielewa kf na wengi hupita humu kimyakimya wanajifunza na KULIKE KIMOYOMOYO.
Kf imenipa marafiki wengi hadi wengine tunafanya project za maana baada ya kukutanishwa na kf.
Mimi huwa ninamsemo usemao "unaweza kuokota fedha jalalani"
Tuliitwa kila aina ya majina na kebehi eti kisa jina KAPUKU lkn leo wengi hupita humu na kujifunza, nimeshuhudia wakikiri kwa vinywa vyao.
Ni kweli hata nami natamani tukutane siku moja, I have nothing to hide hata niogope kukutana na mtu wa jf.
Cc mkongo
Shululu
Bitoz
Jimena
Sweetiepie
Lizzie
Beilly5
Manuu
Briz
Pat123
Nawamis hawa viumbe wa kipindi kile
Si maanishi waliopo hawafai lahasha
Wakuu hapa twakumbuka mbaali sana mtuwie radhi. Tunaheshimu uwepo wenu sana
Transcend
Lee
Shunie
Sakayo
Husna
Fakalava
Mondray
Na wengine wengi
Hahaha wanaogopa kula matapishi yao walivyotutukana, wanavua gamba ili wajiunge humuHajaondoka yule "kastaafisha" tu ID zake yupo kivingine hata Genda Hela/Za Kitabu kubadili ID na kuwa Chaubama sijui
.......