Ikiwa kesho ni Sherehe za Eid sio mbaya tukajua haya mambo muhimu. ..
MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi