Name calling ni kutukanana matusi na lugha nyingine za kukera! Na hasa pale mnapokuwa hamtaniani.
Mfano, mimi hupenda kuandika mhamiaji haramu, kama nitamtaja memba wa hapa kama mhamiaji haramu ilhali inajulikana kabisa hatuna utani wa namna yoyote basi hii ni tusi au lugha ya kukera.
Napenda utanilakini si wa kukwazana na kama hatutaniani basi siwezi kufanya utani wa kukera hata sikumoja. Ikitokea nitaomba radhi