Bosi!Udiiipuu kwa ile sio ya mwanzo make majanga tayari ..ntakusimuliaa
Hawa wadudu kuwala watamu sana. Wana ladha ya embe mawazo
....me ni.mwalimu yaani tichaz. Ila Safari lager ndo bia yangu (mshahara mdogo tunajitahidi kulewa mapema)
Basi hapo unalia wivu tu kimya kimyaYaani leo kashinda na tabasamu na maua yaani flowers kayamwaga kinomanoma yaani anayajaza tu anasubiri kujazwa pia
Muhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.
Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha
Wewe si unampa kamoja kamojaaBasi hapo unalia wivu tu kimya kimya
Vipi tena kuchapana!? Una hamu?
Sasa we umezoea nn?!mazoea yana tabu
Acha haraka, wala usiwe na hasira O🙂 atajibu baada ya kuwa amejiridhisha kuwa hakuna kusudio shambulizi la kihisia au kimwili
Hamuishiwi vitukoUdiiipuu kwa ile sio ya mwanzo make majanga tayari ..ntakusimuliaa
Sasa we ulitaka nimpaje?!Wewe si unampa kamoja kamojaa
Leo ulikuwa mwendo wa kuchungulia humu ndani ....lakin niko poa hope kwa wote
Nimefanyaje tenaIla wewe
Asante mkuu Bitoz
Asante Bitoz
Ubarikiwe sana
Pamoja sana wadauThanks bitoz
Potezea! Ushaziona siku zako? Kimbelembele tu. Aaaargh!Muhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.
Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha