Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mi naona magu yuko sawa tuKatika dondoo za bbc. ..
[emoji117] Kauli ya Rais wa Tanzania John Magufuli kwamba wasichana wanafunzi wanaopata ujauzito wasirudi shuleni imepingwa na baadhi ya wananchi na wanaharakati wakisema wasichana hawa wana haki ya kikatiba kuendelea na elimu.
[emoji117] Waziri mkuu wa Uingereza THERESA May amewasilisha mipango yake, kuhakikisha haki za raia wa Umoja wa Ulaya nchini Uingereza, baada ya kuondoka katika Umoja wa Ulaya.
[emoji117] Leo ni siku ya wajane duniani. Mataifa mengi ya Afrika yamelaumiwa kwa kuwapuuza wajane. Tanzania ni miongoni mwa mataifa hayo.
[emoji117] Raia mjini kinshasa wawamwagia mzigo wa lawama wahubiri injili, mapasta pamoja na wamiliki wa baa kwa kusabisha kelele kwa jamii na kusababisha watu kukosa usingizi
[emoji117] Ujumbe wa waisilamu kutokea nchini Kenya upo nchini A-Kusini kuleta umoja baina ya raia wa A-Kusini kuweza kuelewa mahubiri ya dini ya kiisilamu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani
[emoji117] Ukuaji wa teknolojia unaoenekana kushika kasi Nchini Kenya huku wanablogu wakizidi kuongezaka, hijabi bloggers ndo kivutio
Yuko sawa kivipi??Mi naona magu yuko sawa tu
Nawe pia mkuuTuwe na siku njema na maandalizi mema ya kumaliza wiki ..wapi umekosea /kujikwaa yote mipango ya Mungu tusikate tamaa
Amen mamii[emoji524] ZABURI 71
8.Kinywa changu kitajazwa sifa zako ,na heshima yako mchana kutwa
9.Usinitupe wakati wa uzee,Nguvu zangu zipunguapo usiniache.
[emoji523] BABA Asante kwa asubuhi ya leo ,asante kutuamsha salama Sifa ,Shukurani,Heshima Na Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunaomba toba kwa mambo yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na matendo turehemu twakusihi.
Ponya wagonjwa ,waliovunjika moyo,wasio na kazi Baba waangalie kwa wema wako,wafiwa ,wajane yatima wafariji waguse wakuone wewe na wakutegemee daima.
Tufundishe kusamehe zaidi,kupenda zaidi,kutoa zaidi ili tupate kusamehewa,kupendwa na kupokea.
Siku ya leo tushike mkono tuongoze katika safari hii njema ya maisha ambayo umetupa kama zawadi iliyo njema tuifurahie na kila wakati tuhesabu baraka ulizotujalia,tusinung'unike,tusikate tamaa na wala tusirudi nyuma tukaze mwendo huku tukikutegemea wewe tu ili tuuone utukufu wako.
Bariki kila mmoja katika kundi dogo hili la MAKAPUKU awe msaada kwa mwenzie,awe faraja awe mfano bora na kumbukumbu njema kwa kila mmoja na kuifanya dunia uliyojaa changamoto kuwa mahali pema na pazuri pa kuishi.
Asante kwani utatupa kushinda sawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Amen
MUWE NA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Twende kaziiiTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nawe pia mkuu
Asante kwa kutiana moyo
Hawa naoo sijui wamekosa habari
UbarikiweAmen mamii
Watu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamoMi naona magu yuko sawa tu
Uko poa mkuuJamani nasubiri ukaribisho wa ID MUBARAKA
Karibu sana Tanga(Lushoto) ila andaa nauli yako ya kuja na kurudi kwenu. Chakula na maji ntakupatia bureee kabisa.Jamani nasubiri ukaribisho wa ID MUBARAKA
PamojaaAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Niwatakie siku njema
......
Asante mkuuKuna wakati unahisi umebaki peke yako kwa kuwa ndugu jamaa n'a marafiki wamekutenga lakini nikuambie ni kweli watakutenga lakini yuko mmoja tu ambaye hatakutenga naye ni Mungu muumba wa mbingu n'a ardhi Mungu wa Abraham Isaka n'a yakobo
Huyu pekee atakurudishia tena hao waliokutenga
Asubuhi njema makapuku forum
[emoji122] [emoji122]Watu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamo
Ameongea kama vile ni mzee muhuni muhuni tu .....hajaongea kama "Rais"
Angeweza kusema "kuwaruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo siyo sahihi na angeeleweka ila siyo kuongea kwa kebehi,masimango,dharau n.k
.......
Kama hana nauli??Karibu sana Tanga(Lushoto) ila andaa nauli yako ya kuja na kurudi kwenu. Chakula na maji ntakupatia bureee kabisa.
Asante mkuuView attachment 529144Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Ankali JJ
Muwe na siku njema