Salama ankali, auntie yangu nae sijamuona..... Hivi yupo? Hajambo?Ankali za jioni
Kama ndo yule jamaa mpya afadhali tu ushemeji ufe. Nilifikiri kuwa baada ya brother Shedede ungekuwa angalau na kipindi cha ku-cool off kidogo na kuangalia upepo unakwendaje. Kumbe unaunganisha tu ka treni lisilo na breki from one relationship to another. Goodluck mama japo nahisi kama safari hii umelamba gharasha [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaonanaaa[emoji1]Nakuonaaa
Yupo ndioBhinamuu upoo ??
Shemeji shimba VP tena?!Aaaargh !!!
Naielewa sana hii ngoma na nakubali sana ngoma za Shaggy japo ule wild tonight aliomshirikisha Olivia huwa naupenda kuliko yooteMuziki: Kuhama Mtaa
Ninyi ni watu wema sana, huwa nakuwa na wakati mzuri sana nikiwa hapa na hili si uongo wala makidai, Ndo ukweli na ukweli siku zote hata ukifukiwa futi sita chini utaibuka tu, huwa ni suala la muda tu na wala si kitu kingine. Hongera kwetu tunaojitahidi angalau kusema kweli japo mara chache kuliko nyingi za uongo. Sisi ni binadamu.
Nimefurahia segment ya Makapuku TV, hii itakuwa ni bomb, hoping itapangwa muda mzuri ili zisiingiliane na nyingine.
Jana nilipotea, yeah, ni vizuri nikashare nanyi maana tangu mwenye nyumba aanze kunisalimia kila siku (salamu maana yake anakumbushia nilipe kodi ya nyumba, ni haki yake lakini si kwa salamu zinazozidi kipimo). Nimeamua kuhama, naamu nahama maana kwanza nimesikia tetesi anaongeza kodi ya nyumba. Ni nyumba yake afanye analotaka na kodi ni yangu naamua navyotaka.
Mnakumbuka mwezi jana ulikuwa wa neema kwangu, kwanza nilinunua saa mpya, solar automatic. Then, baadaye yaani after that nikapewa simu ya tachi na funga kazi sasa nimeingiza flat scrini ndani na hapo sasa ndo maneno yalipoanza na vituko. Dirisha la chumbani limechwana mtindo wa sambusa, walitaka kupora simu wakaondoka na chaja, kama kuna member yeyote anakodisha chaja aweke tangazo, au vipi aniazime bila kuweka sharti la kurudishiwa. Mkopaji jeuri.
Nisikuchoshe bhana maana najikuta naongea sana. Kuna mtu aliniambia naongea sana kwa sababu nilichelewa kutembea, sio kosa lake maana ndo aliyenizaa.
Muziki na kuhama leo, nimekupigisha sound mvua hapo juu lakini lengo langu nataka tu umsikize Shaggy, yeah Mr Lavalava. Enzi hizo miziki ya kutengenezwa studio ndo inawika sanaa na japo huu wimbo ni wa studio lakini nimewahi kuwaona jamaa hapa mjini wanaucheza live gitaa nyingi na vinanda, utapenda.
Hadi hapo wakati mwingine Makapuku ni sehemu nzuri kwa sababu tu wewe u sehemu yake
Tahadhari: Muziki huu raha yake uwe na simu zile za kichina zenye spika nane na subufa, wenye Samsung, LG, Iphone na nyingine za makabila ya original inabidi muwe wataulivu sisi wenye Samsing, Itel6, Yutong4 tufaudu
Niko poa VP wewe mkuuUko poa!
*dah!! mapenzi yanavotesaga wengi wanafikigiaga hata hatua ya kunywa sumu*
*mi mwenyewe juzi tu nimetoswa nililia hadi nikaamua kunywa FANTA*[emoji15]
_ulitaka nife_??[emoji23]
[emoji144][emoji144][emoji144]
Poa unaendleajeShemela mambo
Yule sio km unavyofikiliA shemeji mi niko single now yule ni mpendwa tu nothing happenedKama ndo yule jamaa mpya afadhali tu ushemeji ufe. Nilifikiri kuwa baada ya brother Shedede ungekuwa angalau na kipindi cha ku-cool off kidogo na kuangalia upepo unakwendaje. Kumbe unaunganisha tu ka treni lisilo na breki from one relationship to another. Goodluck mama japo nahisi kama safari hii umelamba gharasha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo sana hofu kwako tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Take this
[emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255]
Story zako tu ShemAwe muzee ya Totoz asiwe mi hayanihusu ati! Maneno gani hayo yanayokuchekeshaga?
Ndioooo*dah!! mapenzi yanavotesaga wengi wanafikigiaga hata hatua ya kunywa sumu*
*mi mwenyewe juzi tu nimetoswa nililia hadi nikaamua kunywa FANTA*[emoji15]
_ulitaka nife_??[emoji23]
[emoji144][emoji144][emoji144]
Asante kwa kushukuru mpendwaUnajua sana kuchagua maua yanayoufurahisha moyo wangu. Asante mpendwa
Naielewa sana hii ngoma na nakubali sana ngoma za Shaggy japo ule wild tonight aliomshirikisha Olivia huwa naupenda kuliko yoote
Mimi tena niko fittyNiko poa VP wewe mkuu
Ulijua nitakonda [emoji3][emoji3][emoji3]Niko poa VP wewe mkuu
Ni kweli kabisa Blessed, japo kuna watoto wanaoharibika kutokana na mazingira wanayokulia pamoja na wale wanaowazunguka, lakini wengi wao huwa ni matokeo ya wazazi wao kushindwa kuwafunza yapi maadili mema na yapi ni maadili yasiyofaa.Hivi hii biologia kweli,ni kukosa hofu ya Mungu na kujisahau..kuna siku mkuu Bitoz alielezea jambo kuwa waangalifu sana na vitu vinavyopostiwa(kupiga picha na kupost)kumbukumbu inabaki milele hawa vijana hata kama wanaigiza si kwa umbali huu,
[emoji524] HOSEA 4
6.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa;kwakuwa wewe umeyakataa maarifa,mimi nami nitakukataa wewe ,usiwe kuhani kwangu mimi;kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako mimi
nami nitawasahau watoto wako
7.Kadri walivyzidishwa ,na kadri hiyohiyo walinitenda dhambi;nami nitageuza utukufu wao kuwa AIBU.
8.Hujilisha dhambi ya watu wangu,hujifurahisha moyo kwa uovu wao
9.Hata itakuwa kama walivyo watu ndivyo atakavyokua kuhani,nami nitawaadhibu kwa ajili ya njia zao,na kuwalipa kwa matendo yao.
10.Nao watakula lakini hawatashiba,watafanya zinaa lakini hawataongezeka,kwa sababu wameacha kumwangalia BWANA.
11.Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fhamu za wanadamu
Hofu ya MUNGU NI TIBA TUWASAIDIE WATOTO VIJANA KUMJUA MUNGU KUMPENDA KUMHESHIMU ITAWASAIDIA KUEPUSHA KUIGA MAMBO YASIYO FAA
[emoji524] METHALI 22
6.Mlee mtoto katika njia impasayov,Naye hataicha mpaka atakapokuwa mzee
Tumuombe Mungu atusaidie na awasaidie watoto wetu,wadogo zetu,vijana wafuate njia ya Mungu na wajue kusudi l Mungu kuwaleta duniani
Shalom[emoji113]
Na nini ?[emoji134] [emoji134]Poa unaendleaje