Ntapita fasta si unajua boss alivyoo??karibuuuu
Nakuonaaanakuona mkuu
Bhinamuu upoo ??...ukisikia siku inaisha vizuri ndo hivi sasa, yeah pale unapopata mtetezi lakini si kama yule aliyeimbwa na Christina Shusho. Asante mpendwa wangu yaani umeufanya mtima wangu usahau kabisa kama jana nilimiss humu na kuwamiss sana.
Hujambo lakini?
Bhinamuu upoo ??
Aaaargh !!!...ukisikia siku inaisha vizuri ndo hivi sasa, yeah pale unapopata mtetezi lakini si kama yule aliyeimbwa na Christina Shusho. Asante mpendwa wangu yaani umeufanya mtima wangu usahau kabisa kama jana nilimiss humu na kuwamiss sana.
Hujambo lakini?
Uko poa!Nzuri mkuu
Mie mzima vp mama mchuchu niliku-missNjema mzima Mkuu Shedede ubarikiwe
Mie mzima hofu ni kwako JIMENANjema kabisa habari ya wewe?
Mambo JIMENA!Njema kabisa habari ya wewe?
Naje naje buda?Niaje shedede
Kama ndo yule jamaa mpya afadhali tu ushemeji ufe. Nilifikiri kuwa baada ya brother Shedede ungekuwa angalau na kipindi cha ku-cool off kidogo na kuangalia upepo unakwendaje. Kumbe unaunganisha tu ka treni lisilo na breki from one relationship to another. Goodluck mama japo nahisi kama safari hii umelamba gharashaAminia shemeji shimba
Awe muzee ya Totoz asiwe mi hayanihusu ati! Maneno gani hayo yanayokuchekeshaga?Obe sio mzee Wa totoz wanamsingizia tu
Usitishike Shem maneno yako yananichekeshaga ndio maana
Habar zako mkuu SHIMBA?Kama ndo yule jamaa mpya afadhali tu ushemeji ufe. Nilifikiri kuwa baada ya brother Shedede ungekuwa angalau na kipindi cha ku-cool off kidogo na kuangalia upepo unakwendaje. Kumbe unaunganisha tu ka treni lisilo na breki from one relationship to another. Goodluck mama japo nahisi kama safari hii umelamba gharasha
ThitakiiiiNimeshindwa, malizia wewe
Sijambo sana hofu kwako tu...ukisikia siku inaisha vizuri ndo hivi sasa, yeah pale unapopata mtetezi lakini si kama yule aliyeimbwa na Christina Shusho. Asante mpendwa wangu yaani umeufanya mtima wangu usahau kabisa kama jana nilimiss humu na kuwamiss sana.
Hujambo lakini?
Shemela mamboukorofi wako huo
Mm mzima hbr ya mihangaikosafi mke mwee za wewe apo