Makapuku Forum

Shukrani mkuu Transcend kwa nukuu

Itaendelea lini?
 
Soka Segment ( SS )

Leo tuangazie wanasoka ndugu ambao wamecheza soka kwa level ya juu hapa duniani, wanaweza wakawa wamecheza timu moja au timu tofauti lakini mchango wao kwenye vilabu ama timu zao za Taifa ni mkubwa.

Karibuni...
 
15. Michael na Brian Laudrup
Hawa ni Wadenmark ambao waliacha mchango mkubwa na kufanya waheshimike sana katika nchi yao kwa kusaidia taifa lao kutwaa taji la Ulaya la mwaka 1992 maarufu kama Euro 92.

Michael alitamba akiwa na Ajax, Real Madrid na Barcelona, mdogo wake alitamba akiwa na Bayern Munich, Ac Milan, Chlesea, Ajax na Rangers ya Uskochi.


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…