Huyo ni kobe siyo mtu
Nimewahi kuleta 10 kubwa hapa
Huo umri kwa kobe kawaida sana kuna akina konokono,samaki n.k
Pia kuna viumbe ambavyo "huishi milele"
.........
Hii ni ngumu kwanza, mtoto wa Kennedy bado yupo hai, Caroline Kennedy. Hivyo kutoa classified documents kuhusu kifo cha baba yake ni kama kufufua sakata upya kuhusu kifo cha baba yake.