Makapuku Forum

kuhusu mama mchuchu wananisingizia jana simu yangu kutwa nzima alikua nayo Baba D kwahiyo kama kuna vitu vimesemwa ni Baba D ndio kaaandika binamu sio mimi hivi naanzaje binamu yangu ninavyokupenda uwe na furaha


Maaaaweeeeeee, hakyanani nilijua tu. Wewe unaniteteaga sana sasa nikajiuliza vipi ujue naumwa na umeona BH anataka kuja uanze kunizibia tena. yalikuwa ni mawazo sasa umenifungua, alikuwa ni anko wangu mwenyewe kabisa.

Ndo maana haipiti nusu saa ananiulizia kama mgeni kafika kumbe anajua alichofanya. Nashukuru kwa taarifa aunt yangu, uzidi kubarikiwa uwe na moyo mwema na ila siku nyiingine hakikisha simu yako haichukui bhana, unaona nilitaka kuchuma dhambi bure kwa kukusingizia. Nisamehe kwa kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…