Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa......anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).
Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu
Nipe ua kama nimepatiaa[emoji38] [emoji106]
Ndio ooAta hiyo ??
AnzaaSijui naanzaje
Mi sijambo mpendwa wangu
[emoji254] [emoji254] [emoji254] [emoji254] [emoji253] [emoji253]
Unacheka nn sasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
HV nani alikufitini mpendwa?!...anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).
Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu
Yaaap[emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbe nilipatia kusema "mafiga matatu"
Ndio hivyo hivyoSema vizuri
Maua yanapitia kwanza kwangu mm ndo tbs wa binamuMi sijambo mpendwa wangu
[emoji254] [emoji254] [emoji254] [emoji254] [emoji253] [emoji253]
Hamjijuiii nyote mliofitinii??HV nani alikufitini mpendwa?!
Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa...
Ao achana nao waendeleze fitina zao ila tutashinda ...babu yangu kama leo umeshinda nae nashukuru make wewe utafikiri ndani kuna miiba ukikaa inakuchoma ...nadra sana
Ubarikiwe kwa hilo (in mama mchungaji voice)
Nipe ua kama nimepatiaa
HV nani alikufitini mpendwa?!
Maua yanapitia kwanza kwangu mm ndo tbs wa binamu
Binamu me nakusalimia tu unaendeleaje lakiniOrodha ni ndefu my sweetflower yaani inaanzia kwa aunt yangu, majirani zake namajirani zangu na hata ambao huwa hatusalimiani.
Huwezi amini hata wewe japo ua hukunitumia (ila wewe haujanifitini)
[emoji120] halaf nimekumiss miss ujue
Huu uzi naupitaga kama siuoni, leo ndo kwanza nimeufungua, hebu nidokeze ukojeukojeAnzaa