Makapuku Forum

Kuna msemo unasema [emoji116][emoji116][emoji116]

Money is what money does

Wachumi waamnini Hela ni tool of exchange baada ya maisha ya better trade..

Money can be changed for goods or service as far it has been accept by the surrounding society...

Nirudi kwenye picha sasa; [emoji3][emoji3]

Kuna mahusiano baina ya mwanamme na mwanamke ambayo yanasababishwa na nguvu ya hela na ndio kulichopo kwenye picha hapo..

Mwanaume anatumia hela kumpata mwanamke..! Utaona hela zimetumika kama ngazi/ kiunganishi kwa mwanamke kumfata mwanaume...

Mwisho;

Wanaume Tutafuteni hela wakuu.

I stand to be corrected..[emoji41]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] usinambie simu umempa kweli??
 
Kwenye red
= Barter

Maelezo yake nimeyaelewa
Umewaza vizuri
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…