Amekua mkubwa sana kwa mara ya kwanza nilimuona live alipodondoka kanisani kwa mama Lwakatare mlima wa moto acha kabisa sasa tuendelee kuomba ninachofahamu mtu akizoea kula nyama za watu kuacha ni kwa maombi mazito
Usajili wa Okwi ni upuuzi km usajili wa Ngassa Yanga
Okwi & Ngassa wa sasa hawana tofauti na Side Mnyamwezi wa timu yangu ya kitaa Mabibo labda majina tu
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
..........