Unazungumzia DaVinci Code ama? Inabidi kuwa mwangalifu na haya mambo mpendwa kwa sababu program zingine ni propaganda za watu na zimelengwa kutimiza malengo maalum yaliyokusudiwa na sponsors. Always akili za kuambiwa changanya na zako.
Discovery na History channel kwa kawaida hawakupi conclusion. Wanaripoti tu "facts" kulingana na utafiti wao halafu wanakuacha mwenyewe ufikie conclusion unayotaka. Hawana propaganda za wazi kama hao jamaa uliowataja hapo juu.