Makapuku Forum

Hizo chanel zina maarifa ya hali ya juu sana
Documentary zao na baadhi ya vipindi huwa wanaviandaa vizuri sana na kuvitafiti kwa kina. Uwasilishaji wao pia umeenda shule (animation nzuri katika 3D zinasaidia sana katika kufafanua dhana ngumu katika sayansi) Yaani wanakuelezea mambo ya Black Holes mpaka unaelewa kabisa. Morgan Freeman akisimulia kipindi cha "Through the Wormhole With Morgan Freeman" hata kama ni kichwangumu vipi utaelewa tu. Sayansi tungefundishwa hivi ingekuwa poa sana.

Sasa nawafuatilia hawa jamaa wa Ancient Aliens. Wananifurahisha sana na nadharia zao za mambo ya kale, nadharia ambazo ziko nje ya mainstream science...
 
Ni kweli kabisa, pia usiruhusu watoto kuangalia cartoon, zinaharibu sana watoto na zinachochea mapenzi ya jinsia moja
 
Amina SHIMBA,Hakika muhimu kujisomea,asante kutukumbusha
 
Uliifuatilia story ya yesu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…