Makapuku Forum

Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Yaani ni kweli kabisa, kwetu mtu akikuita KAPUKU amekudharau sana na mnaweza kupigana. Bibi yangu zamani za miaka ya 80 ukifanya jambo ambalo halina ufahamu ndani yake (yaani ukikosea) atakuita jina hilo la KAPUKU. Na mimi nashauri kama Group hili ni la manufaa mazuri na ni la watu makini LITAFUTIENI JINA LINGINE LITAKALOENDANA NA UMUHIMU WAKE KWA WAHUSIKA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…