Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ukiweza mruhusu wifey nipige naye practical - show moja tu ya kibabe na roho yangu itapoa. Mengine haya siyajui...Shemeji si utaendelea kuwa shemeji kwa binamu....shabashiiiiii au ulitaka ufanye practical ya man fongo??
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ukiweza mruhusu wifey nipige naye practical - show moja tu ya kibabe na roho yangu itapoa. Mengine haya siyajui...
Obe kanizunguka...Naona na ushemeji utakuwa kwishnei sasa. Ngoja tuone itakavyokuwa. Pengine itanibidi nimchochee Shedede huko aliko achochee matunguli ya Kikinga ili haya mapinduzi yadorore!
Asante mama mchungaji[emoji524] ZABURI 27
1.BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?
MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA MKIMTANGULIZA YEYE SIKU NJEMA[emoji7] [emoji7]