Makapuku Forum

Huku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
Uko niliko nini, hata kwetu toka Jana mchana mpaka leo ni ziiii... Wala hamna dalili
 
Asante, nawe pia
 
Huku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
Mikataba mikataba, pia kumbuka tumepata uhuru 2015 [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…