Kumbe ulifikiri ni rahisirahisi tu
Kuandika mada kunahitaji utulivu kinoma
Mimi nilianza kibashitebashite nikaja kugundua yafuatayo now naandika kwa kujiamini
*Kusoma net/kitabu
*kuchambua ulichosoma mfano mtu unasoma maneno 100 lakini unaandika 20 tu
*kuwa na maarifa na unachokiandika maana mtu unaweza kupigwa swali inakuwa noma
Mdau nasubiri falsafa zako next week kwa hamu
........