shemela ni bahati mbaya hatujajua kama tumeqoute story tumekosa jamaan hii adhabu ni kubwa sana wengine story ndio kilevi kinatusahaulisha stress za hapa na pale
LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.