Kweli..... Lakini kwa ninavyojua dadaangu alivyo mzuri sidhani kama mwanamme aliye rijaal atamuona katika hio Hali aliosema msukuma na akageuza sura.... Hata Mimi Kakaako siwezi.. Msemakweli mpenzi wa mungu.
Kuna taarifa zinaenea kuwa nimeteuliwa kuwa waziri wa nishati n'a madini
Hizo taarifa sio za kweli n'a zipuuzwe Mara moja
Siwezi kufanya kazi kwenye wizara y'a majanga namna hiyo
LEO KATIKA HISTORIA..
Ilikua siku ya Jumanne tarehe 10 June 199.. ambapo mwenyezi Mungu kupitia Tumbo la Mama yangu mzazi aliweza kunileta hapa duniani.
Namshukuru Mungu kwa kunilinda na Matatizo yote!!!
BLAZA & SISTA TODAYS ITS MY HAPPY BIRTHDAY.