Baba D asante jamaan ila nimecheka sana
kafumania mchumba ake na kupigwa kapigwa mtu umeshaona mchumba ako ana baunsa unakufa na tai shingoni utajua mbele kwa mbele ila mam mtu mbaya sana
huyu jamaa kapigwa jamaan kama nimemuona ila pole yake sana kwa kipigo cha baunsa