kaisahau soni tuUsambaani na viunga vyake!
hongera shemela[emoji134] [emoji134] [emoji134]
HunieAchana na sakayo.
She is my wife..!
Afu jaribu kuwa msaarabu mkuu
Mkuu hakuna tatizo wala..Makapuku.!Humu ndani kuna utani fulani hivi amazing.
Kuna groups wanataniana saanaa na hakuna ubaya.
Makapuku wengine wakijaribu kutania baadhi ya pairs au couples salalee.
Tafsiri ya makapuku ni watu wenye mtazamo mmoja mwelekeo mmoja na malengo yaliyo sawa.
Sasa daah! Mkwara unakuwa mzito sana.
Makapuku ni stress free zone. Pole mliokwazika na utani wangu.
Msamehe kwa niaba yangu, nimeishamwambiaHivi wewe
Nini ku quote uzi wote huoo
Mimi ni mtu mstaarabu sana kwa watu wastaarabu mrembo Sakayo.Nimkubali mara ya ngapi...
Nilikuona mstaarabu saaana kumbe ilikuwa gia tuu..
Tuliyamaliza muda sanaaa, halafu wanaume kugombana na kupeana mipasho sio mpango!!!!
Kawaida ya Wanaume ni kukubaliana tuu, mipasho waachie wanawake tena wenye akili finyu
Aisee, inawezekana ikawasijaelewa kwahiyo hiyo id ni yako
Mama wa watu tumuombee tu[emoji120]Kwa nini? Ni baada ya kutoka hospitali Muhimbili kipindi kile aliumwa akalazwa.
Ndio mkuu, kwao shunieUsambaani na viunga vyake!
Jishike usiangukeMakapuku.!Humu ndani kuna utani fulani hivi amazing.
Kuna groups wanataniana saanaa na hakuna ubaya.
Makapuku wengine wakijaribu kutania baadhi ya pairs au couples salalee.
Tafsiri ya makapuku ni watu wenye mtazamo mmoja mwelekeo mmoja na malengo yaliyo sawa.
Sasa daah! Mkwara unakuwa mzito sana.
Makapuku ni stress free zone. Pole mliokwazika na utani wangu.
Just ignore the guy. Don't answer. Don't like. Nothing. Atachoka na kwenda zake japo kutongoza ni haki yake lakini naona ameanza ugomvi ugomvi...Nimkubali mara ya ngapi...
Nilikuona mstaarabu saaana kumbe ilikuwa gia tuu..
Tuliyamaliza muda sanaaa, halafu wanaume kugombana na kupeana mipasho sio mpango!!!!
Kawaida ya Wanaume ni kukubaliana tuu, mipasho waachie wanawake tena wenye akili finyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante Obe kwa musicMuziki: Tufurahi na Weekend
Muda mwingine tena Makapuku, na kama kawaida segement hii hukujia mara tu baada ya top 10 za Bitoz. Najua kabisa Ijumaa inaenda vizuri na sasa unajirejesha nyumbani au upo tayari ukijipanga nini ufanye weekend hii. Napenda ufahamu tu kuwa hakuna jambo zuri na lenye afya kama kutumia weekend ukiwa na familia. Kwa sasa niko bar yaani kama padri kanisani au shehe msikitini, hatutofautiani mimi, wewe na wao.
Furahiday sio ya maneno mengi sana, nikija kwako na maneno mengi jua kuwa nataka kukupiga mzinga/mkopo, kitu ambacho si kibaya.
Leo tuangalie reggae kidogo, ni kukumbushana tu mana muziki huu unaujua hata kabla siajuelezea. Hapo tayari ushafikira kina Bob Marley na wenzake, ushaangalia picha yangu na mawazo yako yashakupeleka kwenye kuhusisha reggae na bange. Pole sana.
Tunaangalia reggae laini 'riddim au rhythm' na tunamkuta jamaa anaitwa Eric Donaldson. Huyu ndiye mwimbaji wa kwanza kabisa wa wimbo uliowapa umaarufu UB40 Cherry oh Baby. na kwao Jamaica ana sifa zake nzuri tu zinazomfanya awe kati ya wanamuziki wenye kueleweka na jamii kubwa.
Mimi reggae sio kivile sana huku unavuta jani, yes, kuna tofauti kubwa sana kati ya jani na cocaine, ya pili haijawahi kumwacha mtu salama.
Kupunguza maneno nakuwekea vibao vyote kwa pamoja.na nimezitoa YouTube
Tuwe na weekend njema
Na hapa ni Eric akifanya yake (hii ni video mfu)
Pouwasawa dawa ni kumpotezea atakaa kimya vingapi unaudhika na unapotezea sembuse huyu
NishasahauNini tena shemeki
Hahahasijaelewa kwahiyo hiyo id ni yako
[emoji4]Hard drinks sanaaa
Mwache aseme mwenyeweMsamehe kwa niaba yangu, nimeishamwambia