Mdau tatizo muda piaNiombe kitu mdau, kila mmoja ana aina yake ya uandishi. Zipo source kadhaa zinatofautiana so, kwa hili. Ukipata muda hebu muandike huyu Cooper, una style nzuri ya kuandika na inavutia.
Well, ni jambo zuri ukiandika na ukaweka humu. Binafsi uandishi wako na suportives unanifanya nipende kusoma unapopost. Take your time buddy, hata aya tatu tu zinatunufaisha Makapuku
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Vyeupe vinawachanganya vijana
Mpaka leo sijaona wa kumfananisha katika muziki wa zouk.
Ahsante umenikumbusha mbali
Mdau tatizo muda pia
Mfano asubuhi namsaidia Dikteta
Mchana /jioni naleta Je Wajua?(hii rahisi ni kutupia tu picha)
Usiku 10 kubwa
Yaani muda unabana fikiria pia nachunga mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu vitu ninavyoandika/kuvileta nipo interest navyo sababu napenda kujifunza
Nisingekuwa nabanwa ningeweza kuandika makala ndefundefu
Yaani hata jumamosi na jumapili km ingewezekana
.........
Umemishtua aisee nikasema leo hapatoshi humu ndani...Mpaka leo sijaona wa kumfananisha katika muziki wa zouk.
Ahsante umenikumbusha mbali
Umemishtua aisee nikasema leo hapatoshi humu ndani...
BTW karibu sana mkuu usisite kuja kututembelea.
Ramadhan kareem!!
Niko poa aisee mkuuWewe lazima usituke maana unatembea na RB muda wote unapigwa ban😀😀😀😀
Uko poa lakini mdau? Kitambo sana, good to see you.Tumsubiri Nyagei ndo mida yake hii
Ok umesomeka!D.B Cooper alikuwepo nje ya Top 10
Alikuwa # 14
Pia ningemuandika yaani ningemweka kwenye top 10 ila stori yake nafikiri humu wengi walishaisoma kule kwa "bwana yule" hivyo afadhali hao wengine stori zao baadhi hazijasikika
.....
UmeadimikaaaKama kawa boss..
1 loveOk Pamoja sana Madenge..
Isue za kawaida bro..
ThanksAtakuwa mwanaharakati pia