Makapuku Forum

mwenye mpododo tena unazidi kumwalibia binamu yako halaf ujue zanzi siiwezi kabisa
 
binamu we niangalie tu unafkili habari za cheusi mangala nazipenda me acha niwe kote kote tu kwa style hiyo ungetulia upande wangu na me ningekua na wewe tu
Mbona unawaza mbali aunt yake bhinamu wangu...

Cheusi mangala ni mjumbe wa vikoba
 
binamu we niangalie tu unafkili habari za cheusi mangala nazipenda me acha niwe kote kote tu kwa style hiyo ungetulia upande wangu na me ningekua na wewe tu


Kuanzia leo nasema kabisa huku nimeshika kitabu cha Hiba ya Wivu kuwa nitakuwa upande wako, eeh ngoswe nisaidie
 
si inabdi nifundishwe sasa, simu yenyewe hata mwezi bado, sijaizoea kabia. kwani viflower vinapatikana wapi? Hebu daunilodi unitumie
Mbona unasaha sana kama kuku bhinamu ....nilikuoneshaa juzi unatachiiii unasogezaaa mpaka chini unavionaa vingiii mpaka viapple
 
Tutaongeaa vizur hawez kutushindaa ...

Alafu anko ...eti anko ...bhinamu kuna namba mpya imenipigia jana sauti amaizing fulaniiii ...vipi yule niliyekuonesha ulifanikiwa kumpa contacts zangu ??


Nilimpa namba na email na alifurahia vile ulivyomjazia bando mlipoenda chemba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…