Makapuku Forum

Kweli hujakosea mm kapuku uku ndo home kiukweli ...na michezo kule utanipata ila sinaga kampan kama uku ...

Sports analysis 'box to box '

Ata kwenye thread za movies....mmu kidogo ila pote nikishamaliza notification za kapuku
MMU niliachaga zamani
Ndiyo Jukwaa linaloongoza kwa stori za uwongo
Huwezi kuamini nina zaidi ya miezi 3 sijaingia huko
Zaidi ya kuona vichwa vya habari kwenye New Posts
.......
 
Namkumbuka jamaa alikuwa bingwa wa propaganda
Hadi kuna jina walimpachika
Akina Polepole na Mwakyembe itabidi wamuige

.....
Mikwara yake ilikuwa hevi. Anakwambia "We have trapped the army of the infidels in the desert and starting tomorrow the patriots of the Republic of Allah - The Republican Guard - will start executing them one by one". Kumbe hao Republican Guard walishamwaga manyanga na kutokomea kusikojulikana. Akina Slow Slow hawa na Mwakyembe hata swaga hawana propaganda hizi nzito wataziweza wapi? Tarik Azziz alikuwa na charisma na ukimsikiliza kweli unaamini anachokisema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…