Makapuku Forum

Nashukuru sana kusikia simu hailetii mushkeriii kabisaaa ...kwa maana ntamtafuta yule teja nimuongezee buku dara ...

Bhinamu mbona hilo swali kuhusu ukweli kama ni.mjomba wako ni kweli au laaha make sijui unanifananisha na anko aliyekuwa zaman anakupakia kwenda nursery... kwann yaan huwa unaniulizia sana ???...kiukweli mm ni mjomba wako kufa kuzikana nimetofautiana na dada yangu kipenz mzaa weee kichogo tu na yeye kuandikia kushoto basi ...

Nashukuru kwa ofa ya leo make aunt yako ata rambirambi nilizokusanya alikusanyaa zote chumban
 

Nursery mimi sikusoma, umeanza kusahau, mimi nilisoma vidudu, huko tulikuwa tunaimba, kucheza, kunywa uji na kula vibaragala.

Ha ahahhaha, kama kazikusanyia zote chumbani bado haziko salama, azipeleke bank kabla mashetwain yako ya kula rambirambi hayajapanda Ijumaa hii😀😀😀😀😀
 
mjomba wako mambo ya kufunga hayamuhusu binamu
 
Binamu ukipewa zawadi usiulize maswali we shukuru tu hata kama mbaya


Aliponipa sikuuliza, wala sikuomba risiti.

Nimeuliza leo tena baada ya kuona mabadiliko kwenye bia ya safari, imekuwa sio chungu yaani wameweka sukari. Well, niko bia ya ngapi sijui/ Utaona huwa najiuliza maswali nikishapata kichochea maswali.

Hizi bia ninazokunywa huwa zinanipa maswali sana wakati mwingine najiuliza au huwa nafungua vizibo kimakosa, kwanini maswali na si majibu.???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…