Makapuku Forum

KANDAHAR, PAKISTAN

Basi likiwa limebeba bidhaa na mizigo, ilikuwa tarehe 25/09/2011
 
Reactions: Lee
MAJULI, INDIA


Kivuko kikivuka mto Brahmaputra kikiwa kimebeba watu, bidhaa, magari pamoja na pikipiki Nov, 20 2013
 
Reactions: Lee
MANDALAY, MYANMAR


Sio India tu hata huko Myanmar nao wapo vizuri kwenye usafiri wa treni hapa ilikuwa wamekwenda kwenye sherehe za kijadi ijulikanayo kama Taungbyon national festival ilikuwa tarehe 1/08/2008
 
Reactions: Lee
mautani ya hovyo sipendi kabisa mondray yaan sipendi huyo unaemtag ni nani kwangu? ebu nipumzisheni kidogo
Nisamehe dada angu..
Najua humpendii na mm nimekosea najua..
Nimetaka nikucharue kidogo si unajua nilikumiss..
NISAMEHE.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…