Aisee nyingi kumbeDID YOU KNOW ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu niliwamiss pia na asanteni kwa kuwa nami kwenye kipindi hiki kigumu mbarikiwe sana [emoji120]
[emoji2] [emoji2] binamu mukongo kapoteza simu sasa hapo ndio pa kuchangamkia fursa binamu yangu flowers zirudi kwako ila usijal binamu yangu nimerudi kila kitu kitakaa sawa
PamojaaaaKwanza kabisa Shumie pole kwa msiba
Najua upo kwenye kipindi kigumu ila utavuka tu
Ndiyo maisha yalivyo
Nimefurahi kuona umerejea
Pili nawapongrza ambazo wameshashusha segment zao
Now tusubiri Dikteta
Niwatakie asubuhi njema wadau wote
........
Hivi ni kweli ulifiwa?sawa mzee wa kungoa me ni mchaga
kumbe zinawapenzi hivi
Bashite ni levo nyingine wewe. Yaani jamaa yupo tu anadunda as if nothing happened. Madaraka matamu haki ya nani!Huo uboss wa kibashite
...
Asante madengeEnd
.....
AiseeEnd
.....
[emoji2] [emoji2]
kapendezaRihanna naona kaamua kuwa mwanamke halisi sasa. Safi sana!
Hii imenikumbusha lijamaa limoja hapa. Kila nikimwona mkewe alivyo mrembo basi tu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
hahha na kweliWanaume tumezaliwa kuhangaika.
MhHii imenikumbusha lijamaa limoja hapa. Kila nikimwona mkewe alivyo mrembo basi tu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kweli kabisaWanaume tumezaliwa kuhangaika.
[emoji2] [emoji2] na panki lakeLisa Van Gal(LVG)
Matokeo yake timu hadi leo ni butuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Ahaaaaaha kama ni kweliii kazi ipooo
[emoji2] [emoji2] ebu tumsaidie basi binamu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bhinamu anakosa fursa
nilifiwa ndioHivi ni kweli ulifiwa?
Unasaidia anayejisaidiaaa ....sasa bhinamu yeye kaamua kugonga like tu[emoji2] [emoji2] ebu tumsaidie basi binamu yetu
Sasa brazillian wigi utalipatajeeehahha na kweli