Morning all
Niliimiss sana hii familia, asanteni sana sana kwa pole na salaam mbarikiwe sana
inauma sana katika familia kupoteza watu wawili muhimu ndani ya siku moja hatuwezi kumkufuru Mungu yeye ndio anajua kwa nini imekua hivyo Mungu baba muweza wa yote
Lee wangu nakushukuru sana kwa kuwa na mimi bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu
Mungu azidi kukubariki na Mungu azidi kuniwekea
Nilikumiss sana kivuruge wangu
Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama na kurudi salama kutoka Tanga kuzika
Mbarikiwe sana muwe na siku iliyo njema