Makapuku Forum

NUKUU YA LEO.

Because i grew up playing for Roma and i want to die playing for roma, because i have always been a Roma's fan


Kwa kuwa nimekuwa nikiwa naichezea Roma , nataka nife nikiichezea Roma kwa kuwa mimi nimekuwa shabiki Roma.


Maneno yalipatwa kusemwa na Francesco Totti mshambuaji wa time ya As Roma na taifa la Italia.

Totti anashikilia rekodi ya kuwa Captain mdogo katika ligi ya Serie A

Amekuwa mfungaji mwenye umri mkubwa kwenye ligi ya mabingwa ulaya.

Anashikilia rekodi ya ufungaji wa penati nyingi Serie A.


Muendelezo tuu wakuu..

Muwe na asubuhi njema.
 
Asante T wa Dada kwa Nukuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…