Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Swali bado ni la jumla mno na kimantiki lina fatal flaw. Tunamlinganisha na waliomtangulia katika vigezo gani? Na ni kweli hao waliomtangulia ndiyo walistahili? Na kwa nini tunataka viongozi wetu wote wafanane kiutendaji, kimtazamo na hata kifalsafa? Hao waliomtangulia na kutuachia mamikataba haya mabovu ya madini yanayotutafuna mpaka leo, ESCROW, RICHMOND, PAP na madudu mengine ukiwemo ufisadi wa waziwazi ndiyo walistahili? Tena wengine kabla hawajaondoka ndiyo wakatutungia misheria hii mikali inayotunyima uhuru hata wa kuweka majina yetu humu. Pamoja na matatizo yote haya naamini pia walitenda mengi mazuri na tunaweza kuwapima kwa kulinganisha mema na mabaya yao lakini kuuliza eti kama walistahili ama la kidogo inashangaza! Si tuliwachagua wenyewe?Tuko pamojaa ..
Sijaweka kigezo chochote nikiwa na maana yangu ...
Anyway ni mda kadhaa tangu tumchague na tumeona au tunaweza kumlinganisha na baadhi ya waliotangulia ..
Je kutokana na maamuzi anayoyachukua mbalimbali (aina ya kigezo) ni sahihi anastahili ukilinganisha wadhifa alionao na maamuzi anayoyachukuaa ??
tupooooTOP TEN
Leo tuangalie wanyama wakubwa waliopo duniani
.
.
List inakutanisha wababe wa makundi yote yaani samaki,amphibia,wadudu/inaecta,reptilia,mamalia na ndege
Hivyo ni list ya wababe kuanzia type ya akina mende hadi huko kwa akina tembo
Nafikiri nimeeleweka
NB:
VIgezo ndo hivyo
Ni km ligi ya mabingwa kuna mabingwa wa nchi vibonde na wababe
.......
The man with an old pineapple face. Wamarekani walimtia jela maisha kule Miami kwa sababu za kibabe tu (kisingizio kikiwa madawa). RIP Noriega. Bush Senior aliyekutia ndani na kukuondoa madarakani kinyama naye hali ni tete...Manuel Noriega amefariki Dunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani nimechelewa hadi imefika 200k [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ok mkuu unakuja napopatakaSwali bado ni la jumla mno na kimantiki lina fatal flaw. Tunamlinganisha na waliomtangulia katika vigezo gani? Na ni kweli hao waliomtangulia ndiyo walistahili? Na kwa nini tunataka viongozi wetu wote wafanane kiutendaji, kimtazamo na hata kifalsafa? Hao waliomtangulia na kutuachia mamikataba haya mabovu ya madini yanayotutafuna mpaka leo, ESCROW, RICHMOND, PAP na madudu mengine ukiwemo ufisadi wa waziwazi ndiyo walistahili? Tena wengine kabla hawajaondoka ndiyo wakatutungia misheria hii mikali inayotunyima uhuru hata wa kuweka majina yetu humu. Pamoja na matatizo yote haya naamini pia walitenda mengi mazuri na tunaweza kuwapima kwa kulinganisha mema na mabaya yao lakini kuuliza eti kama walistahili ama la kidogo inashangaza! Si tuliwachagua wenyewe?
Nasema tena, na pengine kwa mara ya mwisho, bila vigezo vinavyopimika swali lako halitajibika sawasawa unless kama unataka lijibike kishabiki tu bila kuzingatia mwegamo wa hoja na ukweli. Na mjadala huu hautafika popote!
ooho7/Mamba Wa Majichumvi
Hawa ni mamba waiahio kwenye majichumvi
Ndio reptilia wakubwa zaidi duniani
Huwa na urefu wa mita 5
Mkubwa zaidi alipatikana akiwa na urefu wa mita 6.3 na uzito wa Kg 1900(karibia Tani 2)
......
Tunapoteza muda. Ungekuwa umeweka vigezo vyako vya kimjadala peupe na points of departure zikaeleweka tangu mwanzo tungeweza kujadiliana vizuri sana. Sasa mjadala wenyewe ni kama siri fulani hivi iliyojaa mitego huku na huko; na unahama hama kulingana na unakotaka wewe. Umeanza na kama huyu aliyepo anastahili kutuongoza. Bila sababu za msingi tumehama huko na sasa tumehamia kusaili kama maamuzi yake kuhusu madini ni sahihi. Hili ni suala jipya, tata na changamano sana na wanasheria wetu (wakiwemo akina Lissu) na wengineo ndiyo wameanza kulitazama kwa kina. Hatujui atafuata ushauri, mwelekeo na maamuzi yapi, na kama maamuzi hayo yatakuwa na faida kwetu kama taifa. Unless you know something others don't au kama we ni mwanasheria mbobevu wa sheria za kimataifa kuhusu madini, nadhani ni mapema mno kuhitimisha kama yupo sahihi ama la hasa ukizingatia kuwa hata mikataba yenyewe hatujui inasemaje (akina Karamagi walikuwa wanasainia mikataba hii nje na kuifanya kuwa confidential). Mjadala huu hauna mwelekeo na unachosha aisee...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Ok mkuu unakuja napopataka
Tuchukulie mfano suala la madini yapi ni maaumuz sahili apa tusilinganishe na waliopita make tukitaka hivo hatutofika ...
Inshort unahisi yupo sahihi kwenye suala la madini ??
umesahau na kwenye ndege wanapanda4/Twiga
Ndio wanyama warefu zaidi duniani
Huwa na kimo cha takribani mita 6
Uzito wao ufikia Gani 2
.
.
Serikali si imetoa ofa ya siku 3 kwa Watanzania kutembelea mbuga za wanyama
Nendeni mkajionee
......