Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anonymous

Senior Member
Joined
Apr 6, 2006
Posts
127
Reaction score
353
Habari wana JF

Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum

Karibu sana
 
Hii ndio habari ya mjini kwa sasa


c05be0cfcdf213fef62e1b2c42664615.jpg
 
Makapuku itaingia kila chaka na italeta kile ambacho kinatokea kwenye jamii, tutakuwa tofauti na wao wanaoomba ushauri kwa vitu ambavyo havina maana.

Wale wanaoamini ubora wao wakati bado hawapo kwenye viwango. Kila Jukwaa litatikisika na kukubali kuwa sisi ni makapuku ambao tunawasha kama U.P.U.P.U
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom