hahahaha hahaha nimecheka sana. badala ya kutoa ramani naona unaelekeza wajihi wa destination. anyway mie sishangai mnavyopakandia hapo. napafahamu na siyo kama unavyosema. unategemea chama ambacho hakina sera za ufisadi kijenge jengo la kifahari kuwa makao yake makuu??? Hizo fedha za wananchama zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kwa manufaa ya watanzania. mf. maji, miundo mbinu n.k.mtaa wa Ufipa, Kinondoni, nyuma ya American Chips, interior fulani mtaa wenyewe ni earth road, full of potholes, dust and mud.
ni kijumba cha NHC za zamani za uswazi sema kimefanyiwa modification kidogo, wageni wanaingilia reception pembeni ya nyumba kwenye ki dark alley fulani kama unaenda men's room vile ila wame pa soup up kidogo, huyo receptionist ni half-innumerate mmoja kashikilia ma kaunta book ya kuandikisha wanachama/wageni, hana cha computer wala cha simu, ukisema "naomba kuwa member" anakurudisha ukalete picha mbili, you know, Benki ya Maendeleo Vijijini style, hawana hata ka digital camera ka dola 50 ka kukupiga picha hapo hapo wakuwahi, halafu nje kuna vigilantes fulani wamekaa across the street na makapelo ya CHADEMA wana monitor moves around the way looking like them hood crews Nyerere used to arrest for Uzembe na Uzururaji...
i was like this some broke arse party here, but wait a minute, they rent helicopters in they campaign trails, and they just got a $ 200,000 handout from that Indian tycoon from CCM, come outta that cave hideouts for your headquarters you clowning politricksians
gotta love CHADEMA tho
naelewa kwa nini unashabikia post ya TASO. ungelikuwa na akili ungeenda kwanza kuthibitisha na siyo kuonesha UZANDIKI wako hapa.Tatizo si office kuwa nyumba ya NHC, bali mazingira mazima ya ilipo office ya CHADEMA na hali halisi kama alivyodecribe ndugu Taso. Okay, labda kumuamini Taso ni kupenda mambo mepesi, sitakiwi kuamini amini. Nitazitembelea office hizo kesho.
Mkuu umenena vyema. ofisi hazina hali mbaya kama asemavyo TASO.Mkuu si kosa kuuliza yaliko Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi dhidi ya dhuluma na ufisadi - CHADEMA. Kipo Kinondoni ila mtaa siufahamu jina. Unaweza fika kuulizia kwa mtu yeyote eneo la jengo la Hugo au maduka/ mikahawa ya jirani watakuelekeza tu. Hata mimi nilifikakwakuelekezwa hivyo.
"A kind and compassionate act is often its own reward"Don't go for easy answers/way; look for it and you shall find; the time for spoon feeding is over
Duh, eneo gani??
Kwa mfano CCM yapo Dodoma Kuu Street, CUF yapo DSM Buguruni, ya NCCR yapo DSM Ilala ya CHADEMA yapo wapi??
Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.

Haina tija hoja hii tusilazimishe nelson mandela aliendeleza juhudi za ukombozi akiwa gerezani,

hahahaha hahaha nimecheka sana. badala ya kutoa ramani naona unaelekeza wajihi wa destination. anyway mie sishangai mnavyopakandia hapo. napafahamu na siyo kama unavyosema. unategemea chama ambacho hakina sera za ufisadi kijenge jengo la kifahari kuwa makao yake makuu??? Hizo fedha za wananchama zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kwa manufaa ya watanzania. mf. maji, miundo mbinu n.k.
Mdogo wangu, nje ya nchi unafanywa nini? Uko nchi gani? Rudi nyumbani tujenge nchi yetu. Ukirudi nione nikupe kazi maalum.
Haina tija hoja hii tusilazimishe nelson mandela aliendeleza juhudi za ukombozi akiwa gerezani,