Makao makuu ya CHADEMA hapaingiliki toka Lwakatare akamatwe

WanaJF,

Nasikitika sana nimechelewa kuingia humu.Kiufupi huyu ni yule mjasiriamali wa Simu.

This is absurd

Jana jioni nilipita makao makuu.Utaratibu niliouona ni ule ule.

Unatamani iwe ulivyoandika.Si umeshafukuzwa CHADEMA?Move on acha kuingiza watu mkenge .Next time hautaaminika!
Hii ni mpya. Toka lini ukapita tu makao makuu wakati hicho ni kijiwe chako mpaka ofisi zinafungwa, au kwa vile huna ofisi maalum kwako ndiyo unaita kupita.
 
chadema ni serikali ya mioyoni mwetu!

unashangaza kweli wewe. kiwe mioyoni mwa watu kingekuwa kinajihami kwa kiasi hicho kwa watu hao unaodai kipo mioyoni mwao. tumia akili kufiria. tena cha kuchekesha huyo alieenda ni mwanachama na pengine ndo wale mnaopepeta humu kila siku kuitetea.
 
Nimefika makao makuu ya CHADEMA kwa lengo la kupeleka barua ofisi ya Hazina. Nimepekuliwa kuanzia kuvua viatu,mifukoni na nikaamuliwa kuacha simu mapokezi(mlinzi wa chadema). Nimehamaki kuona hali ile,Haikuwa kawaida ya chadema kufanya upekuzi huu.

Maswali mengi sana, nimeulizwa hadi kazi ninayoifanya na ndugu zangu wa karibu. Inaokena sakata la Lwakatare limekichanganya chama sana. Walinzi wapo sharp sana kuhakikisha muda wote mgeni upo kwenye uangalizi.

CHADEMA" kikulacho kinguoni mwako"

Nenda pale ubalozi wa Marekani kinachofanyika sio search tu mpaka unapitia kwenye king'amuzi kiitwacho "metal detector" nako ni Chadema kukimbia kivuli cha CCM?
 
taswira aka masalia unafahamika kwa rangi zako.soon mtakuwa useless na watawakimbiza coz msaada wenu umeprove failure katika kuisambatisha cdm.laana hii itatembea na nyie milele
 
WanaJF,

Nasikitika sana nimechelewa kuingia humu.Kiufupi huyu ni yule mjasiriamali wa Simu.

This is absurd

Jana jioni nilipita makao makuu.Utaratibu niliouona ni ule ule.

Unatamani iwe ulivyoandika.Si umeshafukuzwa CHADEMA?Move on acha kuingiza watu mkenge .Next time hautaaminika!

we nae wa ajabu sana sijui hujistukii? Kila mjadala huachi kuleta mambo yako ya masalia hapa, mnafiki utamjua tu, unataka sifa za kijinga while pple are moving foward.. Utatumika hadi lini....acheni ugaidi
 
WanaJF,

Nasikitika sana nimechelewa kuingia humu.Kiufupi huyu ni yule mjasiriamali wa Simu.

This is absurd

Jana jioni nilipita makao makuu.Utaratibu niliouona ni ule ule.

Unatamani iwe ulivyoandika.Si umeshafukuzwa CHADEMA?Move on acha kuingiza watu mkenge .Next time hautaaminika!

Kumbe! Hana hata haya...namsoma sana fb huyu,majungu 2 hana jipya
 
Hiki chama hakiwezi kufika mbali

ukitoka kuliwa 0713 mara nyingi huwa unarukwa na akili na huwa unawaza ushabiki usio na maana mchoro mchore wenyewe bado mjifanye mna shabikia mnahatari sana na nafsi zenu zitawasuta kwa unyama mnao ufanya kazaneni tu na ushabiki huo ipo siku.
 
Inapendeza kusikia wanafanya hivyo, ni jambo jema maana kwa mwendo huu hukawii kusikia hata madawa ya kulevya kukamatiwa makao makuu ya chama, chezea mafisadi wa CCM wewe.
 
Ni vema na ni wajibu kwa CDM kuimarisha ulinzi kwa sasa na kuachana na zama za kale. Hawa magamba wanaweza kuja na mamluki wao kupandikiza hata mabomu humo ofisini na wakaibuka policcm kuwa CDM ni magaidi.tena ilifaa ukaguliwe hasa na uscaniwe mwili wote.
 
Back
Top Bottom