Makao Makuu ya AzamTv yazinduliwa.

Makao Makuu ya AzamTv yazinduliwa.

Yani we shida yako ilikua office tu? kwali WTZ tuna safari ndefu kuyafikia mapinduzi yakifikra.

Tatizo la nchi yetu ukitanguliza pesa umemaliza kila kitu mengine yataji balance badae....

TFF walivyombiawa kuna bilioni kadhaa za uwekezaji hawakutaka kuhoji ofisi,uzoefu wala mitambo.... cha kwanza pesa.!!!
 
Hivi nikipeleka cd ya nyimbo zakwaya yangu ya mt......,zitalushwa hewani kweli???
 
Ligi inaanza jumamosi, tusipoiona live, tunasubiria recorded jumatatu, siku zinaenda!!
 
Hapo tutapumua kwa kupata ving'amuzi vya hali ya mtu. AZAM Hoyeee...
 
eti kaka inawezekanaje msaini mkataba wakati hata studio hakuna, yaani kaka nchi ni vichekecho sana, Unampa mamlaka mtu arushe tv wakati hata channel haipo hewani??? ujinga huu...
 
Tatizo la nchi yetu ukitanguliza pesa umemaliza kila kitu mengine yataji balance badae....

TFF walivyombiawa kuna bilioni kadhaa za uwekezaji hawakutaka kuhoji ofisi,uzoefu wala mitambo.... cha kwanza pesa.!!!
tuwe wachambuzi wanaojua tunachokichambua! hakuna tv iliyojitokeza kuonyesha mpira kwa kutoa fedha kwa TFF na clabu lakini anajitokeza mjasiliamali ambaye ameona kuna biashara hapo anakuletea fedha ili aonyeshe mpira unaanza kumuuliza ofisi iko wapi? ana uzoefu gani? kwani yote hayo asipokuwa nayo TFF na clabu wanahasara gani kwani fedha wataingiza kibindoni na hasara itakuwa kwake yeye alitoa fedha kwa kushindwa kufanya biashara kupitia matangazo hayo au rekordi ya wachezaji kama anataka kuuza wachezaji na kurejesha gharama zake. huko mbele kama wakijitokeza washindani wengi hapo ndio wanaingia kwenye vigezo vya ofisi na uzoefu na kiasi cha fedha ili kumpata mshindi
 
Makao Makuu ya AzamTv yamezinduliwa na Yatakua Tazara.

Leo wametoa Logo yao sehemu ambayo yatakua makao makuu yao pale Tazara.

Kwa watu waendao Kariakoo au Posta nadhani watakua tayari wameona hilo jengo.

Nategemea jamaa kuishika sana Tanzania.

Keep it Up AzamTv
9306_542899182425105_184081977_n.jpg
 
Visimbuzi vitauzwa kama ice cream kwenye vile vibaiskeli?
 
Nasubbiri nikapige kazi maana nina kipindi changu
"Vox popoli vox dei"
 
tuwe wachambuzi wanaojua tunachokichambua! hakuna tv iliyojitokeza kuonyesha mpira kwa kutoa fedha kwa TFF na clabu lakini anajitokeza mjasiliamali ambaye ameona kuna biashara hapo anakuletea fedha ili aonyeshe mpira unaanza kumuuliza ofisi iko wapi? ana uzoefu gani? kwani yote hayo asipokuwa nayo TFF na clabu wanahasara gani kwani fedha wataingiza kibindoni na hasara itakuwa kwake yeye alitoa fedha kwa kushindwa kufanya biashara kupitia matangazo hayo au rekordi ya wachezaji kama anataka kuuza wachezaji na kurejesha gharama zake. huko mbele kama wakijitokeza washindani wengi hapo ndio wanaingia kwenye vigezo vya ofisi na uzoefu na kiasi cha fedha ili kumpata mshindi

Hao wote unaowaona wanapinga ni mashabiki wa Simba na Yanga! Kwasababu ni vilabu ambavo vimekua katika tasnia ya mpira wa miguu hapa Tanzania kwa muda mrefu sana! Lakini hakuna chochote kile ambacho wamekifanya cha maendeleo ya soko hapa kwetu Zaidi ya migogoro, soka butu, hakuna viwanja binafsi wala hakuna soccer Academy! Yani kila kitu kwa Simba na Yanga ni hovyoooo! Leo hii Azamu wana muda mtupu sn ktk soka ya Tz lakini tunaonao wazi kua there is good future! Nakumbuka Mh Rais JK alipowatembelea Azam katika uwanja wao kule alijionea matumaini kwa Azam na pia katika hotuba Yake hakusita kusema ukweli na kuimwagia sifa Azam! Namshukuru sana Mh JK kwa Yale alioyasema na Leo hii tunaona Azam wakizidi kusonga mbele, wakati Simba na Yanga zikibaki palepale na migogoro Yao na soka Lao la ushirikina! Keep it up Azam, Leteni mapinduzi ya soka Na Maendeleo ya soka Tz!
 
azam bajia. Azam ubuyu. Azam mishkakii azam chapati. Azam soda. Azama korosho azam ice cream. Azam juice. Azam mkate. Azam mandazi. Azam maji. Azam mpira. Azma condom. Azam pampers. Azam tv azam keki. Azam apartemnt. Endelea na wewe azam !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Papuchi

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Azam Marine........ Azam rail........... Na mwingine amalizie! Watu wanajua kuwekeza bana!
 
Makao Makuu ya AzamTv yamezinduliwa na Yatakua Tazara.

Leo wametoa Logo yao sehemu ambayo yatakua makao makuu yao pale Tazara.

Kwa watu waendao Kariakoo au Posta nadhani watakua tayari wameona hilo jengo.

Nategemea jamaa kuishika sana Tanzania.

Keep it Up AzamTv

Kwa hiyo ulivyoona bango tu ukajua ni uzinduzi?
 
Wa Tanganyika kazi yetu kuwashangalia watu wa nje. Mwenye Azam ni Mzanzibar, Muungano ndio huo unayoyoma. Baadae ndiyo tutakujagundua kuwa kumbe hatuna kitu. Serikali tatu zikiingia, Tanganyika/Zanzibar kwa passport!
Tukiuvunja Muungano na Bakhresa akirudi Zanzibar hili Jengo pale Tazara utalipeleka Kiembe-samaki
si Bora Wanyarwanda walibeba ng'ombe wao
 
Back
Top Bottom