Azam tv yaanza kuonekana live
Wapi umeviona
Azam tv yaanza kuonekana live
Azam Marine........ Azam rail........... Na mwingine amalizie! Watu wanajua kuwekeza bana!
Lazima kipata wafuasi wengi.nadhani mpaka 2020 atakuwa na chama cha siasa kikiitwa AZAM democratic.
Tukiuvunja Muungano na Bakhresa akirudi Zanzibar hili Jengo pale Tazara utalipeleka Kiembe-samaki
si Bora Wanyarwanda walibeba ng'ombe wao
Morinyo swali lilitoka kwa Sibonike HIVYO ULIPASWA UMJIBU YEYE Mpemba anayetudharau Watanganyika kuwa Bakhresa (unayetaka awe muwekezaji) anatubeba hatuna kitu, wakati sisi tukimtimua km hao Celtel, Zain, Mobitel tunabaki na Majengo (vitega uchumi) faida ni kwa TanganyikaMuungano ukivunjika ataendelea kuwa muwekezaji kama wawekezaji wengina(Aitel, voda, NBC. etc)
Wa Tanganyika kazi yetu kuwashangalia watu wa nje. Mwenye Azam ni Mzanzibar, Muungano ndio huo unayoyoma. Baadae ndiyo tutakujagundua kuwa kumbe hatuna kitu. Serikali tatu zikiingia, Tanganyika/Zanzibar kwa passport!