Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.
Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?
Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?