Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha..wewe si dalali nitafutie takupoza najua una njaa sana
Hatuhitaji mashoga Arusha...kafie huko huko
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha..wewe si dalali nitafutie takupoza najua una njaa sana
CHEAP popularity.Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha, kumtembelea mahabusu kumsihi akubali kutoka ili kuleta utulivu jijini hapa.
Wakati ni wale wale waliombambikizia kesi wakitegemea kumumaliza kisiasa,je hawakulijua hili kuwa utulivu utatoweka endapo wapiga kura wake wakiamua kujibu kwa vitendo?
Au ujio wa mtoto wa mfalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye atawasili jijini hapo tarehe 9, ndo chanzo cha hawa Makamishina kumuona Lema gerezani?
ndugu yangu the way cwapendi ccm mungu ndiyo anajua.CCM wanawaonea wapinzani sana, utasema NCHI hìi ni ya kwao peke yao! Yani mie wananiuudhi basi tu, MUNGU tuokoe na JINAMIZI hili.